1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makala ya Afrika Wiki Hii

26 Julai 2024

Simanzi yatawala katika kijiji cha Kencho Shacha Godzi ,Kusini mwa Ethiopia baada ya maporomoko ya ardhi kuuwa takriban watu 257. Nchini Kenya na Uganda maandamano yamezitikisa nchi hizo za Afrika Mashariki. Na huko Burundi Ugonjwa wa homa ya Nyani wathibitishwa kuingia, tayari watu sita wameambukizwa. Jiunge na makala ya Afrika wiki hii na Saumu Mwasimba.

https://p.dw.com/p/4imwJ