1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaRwanda

Ushindi wa Kagame kuongoza tena chama tawala una maana gani?

Sudi Mnette3 Aprili 2023

Chama Tawala nchini Rwanda RPF kimemrejesha tena kwa kishindo Rais Paul Kagame, kuwa mwenyekiti wa chama hicho baada ya kuibuka na asilimia 99.08 ya kura zote. Katika uchaguzi huo wa siku ya Jumapili, mpinzani wake Harerimana Abdukarim aliambulia asilimia 0.02. Sudi Mnette amezungumza na mgombea huyo aliyeshindwa na kwanza alihoji mafanikio ya RPF baada ya kuwa madarakani kwa miaka 26.

https://p.dw.com/p/4PeQa