1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Unawezaje kutenganisha muda wa kazi na maisha?

Saumu Njama Athuman13 Machi 2023

Mara nyingine huwa ni changamoto kubwa linapokuja suala la kutenga muda sawa kwa ajili ya kazi ama shughuli nyingine zinazokuangia kipato na maisha tu kwa jumla. Wengine hujikuta wakitenga muda mwingi kazini na kusahau kabisa mambo mengine ya kimaisha na kijamii. Vijana wanasemaje kuhusu changamoto hii? Saumu Njama alizungumza nao kwenye makala hii ya Vijana Mchakamchaka. Wasikilize.

https://p.dw.com/p/4ObO1