1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Umma unasemaje kuhusu safari za viongozi nje ya nchi?

Veronica Natalis
4 Juni 2024

Kumekuwa na mijadala kila wakati kuhusu safari za nje zinazofanywa na viongozi wa kisiasa wa mataifa ya Afrika. Na yote hayo yanatokana na swali moja kubwa, je, safari hizo zinaleta manufaa kwa nchi zao kweli au ni nafasi tu ya wao kwenda kujivinjari? Tumewauliza wakaazi wa Arusha, kaskazini mwa Tanzania.

https://p.dw.com/p/4gdmf