1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaNiger

Ufafanuzi:Kwanini Niger ni muhimu kwa mataifa ya magharibi?

Hawa Bihoga
18 Agosti 2023

Niger imekuwa mshirika muhimu kwa nchi za Magharibi katika kupambana na makundi ya Kiislamu na ni njia kuu ya usafiri kutoka Afrika hadi Ulaya. Kiuchumi, nchi hiyo ya barani Afrika pia ni muuzaji mkubwa wa madini ya urani.

https://p.dw.com/p/4VKGO