1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Teknolojia inavyozidi kurahisisha mifumo ya kutuma fedha

13 Desemba 2023

Kwenye Sema Uvume, mara hii tunaelekea nchini Tanzania huko Visiwani Zanzibar ambako programu mpya ya simu Airpay ya kufanya malipo kwa njia ya kidigitali imezinduliwa. Lakini pia utasikia juu ya wanakijiji huko Kusini mwa India ambao sasa wanafurahia lugha yao kuwepo kwenye programu ya akili ya kubuni maarufu AI mtandaoni ambapo sasa wanaweza kupata taarifa muhimu za ugonjwa wa Kifua Kikuu.

https://p.dw.com/p/4a6fV