1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Mtindo wa maisha

Tamasha la muziki mjini Berlin nchini Ujerumani

6 Agosti 2024

Saumu Mwasimba anatuama kwenye tamasha la burudani la mjini Berlin ambalo limekutanisha wasanii mbalimbali ikiwemo kutoka Afrika, muziki wa singeli kutoka Tanzania unang'aa pia, amewakaribisha wasanii kutoka Afrika mashariki. Tusimalize uhondo ingia ucheze.

https://p.dw.com/p/4j9KO