1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tathmini ya serikali ya Ujerumani juu ya kazi yake

19 Julai 2023

Ni kanuni nchini Ujerumani kwa kiongozi wake kukutana na waandishi wa habari kabla ya kwenda katika mapumziko ya kipindi cha kiangazi. Kiongozi huyo kansela Olaf Scholz aliwaambia nini waandishi habari ? Sikiliza makala hii iliyotayarishwa na Zainab Aziz.

https://p.dw.com/p/4U7eA