1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
UchumiAfrika

Tanzania: Changamoto ya huduma ya umeme yazidi kuwa kero

25 Septemba 2023

Tatizo la uhaba wa umeme nchini Tanzania linaathiri maisha ya watu na shughuli zao za kiuchumi, serikali ya Tanzania imekiri kupungua kwa kasi ya uzalishaji umeme hali inayopelekea kupatikana kwa umeme wa mgao katika maeneo tofauti ya nchi.

https://p.dw.com/p/4WmXV
Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio