1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Tofali zitokanazo na plastiki

22 Machi 2023

Akiwa na umri wa miaka thelasini, Elie Mapenzi Matabaro ni mmoja kati ya vijana walioanziasha kampuni ndogo inayoitwa Full Development Agency Group, kwakifupi FDA Group, iliyobobea katika ukusanyaji na usindikaji wa taka na kuzigeuza kuwa matofali ya kupamba ua na barabara za miji ya Bukavu na Goma nahivyo kuchangia katika ulinzi wa mazingira.

https://p.dw.com/p/4P4Az