1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari ya Asubuhi 04.09.2018

4 Septemba 2018

Rais wa Marekani Donald Trump azionya Urusi na Iran dhidi ya kujiingiza katika mapambano ya Idlib. Wafadhili wa kimataifa watoa ahadi ya kuzisaidia nchi za Afrika ya Kati ili kuleta utulivu katika eneo hilo. Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa atetea ushirikiano kati ya China na bara la Afrika.

https://p.dw.com/p/34FTm