Rais Joe Biden amuhakikishia Netanyahu kuwa Marekani italinda usalama wa Israel dhidi ya vitisho vya Iran. Urusi yakamilisha mpango kabambe wa kubadilishana wafungwa na Marekani pamoja na mataifa mengine ya Magharibi. Maafisa wa afya barani Afrika wameelezea wasiwasi wao kuhusu kuongezeka kwa maambukizi ya homa ya nyani.