1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

03.09.2024 Taarifa ya Habari ya Asubuhi

Josephat Charo
3 Septemba 2024

Rais wa Marekani Joe Biden na makamu wake Kamala Harris wafanya kampeni ya pamoja kwa mara ya kwanza Pennsylvania. Marekani yaikamata ndege ya rais wa Venezuela Nicolas Maduro. Na watu 10 wakiwemo wanajeshi watano wauawa katika shambulizi kwenye baa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

https://p.dw.com/p/4kCbP