1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya habari ya asubuhi 07/0972024

V2 / S12S7 Septemba 2024

Waziri wa ulinzi wa Marekani ameondoa wazo la kuiruhusu Ukraine kutumia silaha za masafa marefu kuyalenga maeneo ya ndani ya Urusi. +++Rais wa Kenya William Ruto atangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa kufuatia vifo vya wanafunzi 17+++Na waziri Mambo ya Nje wa Ujerumani atoa wito kwa Israel kusitisha miradi ya makaazi ya walowezi kwenye eneo la Ukingo wa Magharibi.

https://p.dw.com/p/4kNnn