1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Taarifa ya Habari Asubuhi 07.01.2019

7 Januari 2019

Marekani imesema kabla ya kuwaondoa wanajeshi wake Syria, itahakikisha usalama wa Israel na washirika wake wengine // Umoja wa Mataifa umesema wanawake na wasichana ndio waathirika wakubwa wa biashara ya binaadamu // Awamu ya pili ya mazungumzo ya Yemen huenda ikafanyika mjini Amman, Jordan

https://p.dw.com/p/3B7dI