1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaRwanda

Ruto na Kagame wajadili usalama wa kikanda mjini Kigali

Hawa Bihoga5 Aprili 2023

Rais wa Rwanda Paul Kagame na mwenzake wa Kenya William Ruto wamefanya mazungumzo na miongoni mwa kilichogusiwa na viongozi hao ni suala la usalama mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo. Hawa Bihoga amezungumza na Khalid Hassan, mchambuzi wa siasa za eneo hilo kujua dhima ya ziara ya Ruto

https://p.dw.com/p/4PkNv