You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024
Maandamano Kenya
Mzozo wa Israel na Hamas
Ruth Alonga
Ruka sehemu inayofuata Taarifa na Ruth Alonga
Taarifa na Ruth Alonga
Wakongo hawajafikiwa na misaada licha ya usitishwaji vita
Wakongo hawajafikiwa na misaada licha ya usitishwaji vita
Mashirika ya kibinadamu bado hayajapelekwa kwenye maeneo ya vita kwa hofu ya kukiukwa kwa usitishaji wa mapigano.
Shiko: Uongozi unapimwa katika kutatua changamoto
Shiko: Uongozi unapimwa katika kutatua changamoto
Licha ya kipaji cha kuandika mashairi lakini pia ni kiongozi wa kupigiwa mfano katika jamii yake inayokabiliwa na mapigano makali huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Shiko anaongoza kundi la vijana kwa kutumia sanaa kueleza hali inayoendelea katika taifa lake ya ukosefu wa usalama, lakini pia nafasi ya kijana kwenye jamii.
Kivu Kaskazini yakabiliwa na mlipuko wa homa ya nyani
Kivu Kaskazini yakabiliwa na mlipuko wa homa ya nyani
Mamlaka za mkoa zimewataka wananchi kufuata kwa makini masharti ya usafi ili kudhibiti kuenea kwa ugonjwa huo.
Maelfu ya watoto hawaendi shule Kivu Kaskazini
Maelfu ya watoto hawaendi shule Kivu Kaskazini
Zaidi ya shule 500 hazifanyi kazi tena kutokana na migogoro nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Hali hiyo imeshuhudiwa hasa huko jimboni Kivu ya Kaskazini ambako makumi ya maelefu ya watoto wananyimwa elimu, kulingana na shirika la kuwalinda watoto la Save the Children.
DRC yawazika watu waliouawa kambi ya wakimbizi
DRC yawazika watu waliouawa kambi ya wakimbizi
Waathirika wamezikwa katika makaburi ambayo yamepewa jina la "Kumbukumbu ya GENOCOST" ili kuwakumbuka wote.
Vikosi vya SADC vyafanya msako dhidi ya M23
Vikosi vya SADC vyafanya msako dhidi ya M23
Vikosi vya SADC na Majeshi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo vyafanya msako dhidi ya waasi wa M23 na washirika wao.
Onesha taarifa zaidi
Nenda ukurasa wa mwanzo