1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maelfu ya watoto hawaendi shule Kivu Kaskazini

31 Mei 2024

Zaidi ya shule 500 hazifanyi kazi tena kutokana na migogoro nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Hali hiyo imeshuhudiwa hasa huko jimboni Kivu ya Kaskazini ambako makumi ya maelefu ya watoto wananyimwa elimu, kulingana na shirika la kuwalinda watoto la Save the Children.

https://p.dw.com/p/4gVv4