1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais wa Tanzania Samia yupo ziarani Afrika Kusini

Lillian Mtono16 Machi 2023

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan yuko ziarani Afrika Kusini kufuatia mwaliko wa rais Cyril Ramaphosa. Wakuu hao wawili watahitimisha kikao cha pili cha Tume inayowakutanisha wajumbe wa nchi hizo mbili, BNC. Tume hiyo inalenga kuimarisha uhusiano mzuri kati ya mataifa hayo. Lipi jipya litarajiwe? Jawadu Mohammed ni mchambuzi wa masuala ya uchumi na siasa Tanzania amezungumza na Lilian Mtono.

https://p.dw.com/p/4OoFT