1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Raia wa DRC wanajiandaa kumchagua rais wao

19 Desemba 2023

Raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanajiandaa kupiga kura (20.12.2023) katika uchaguzi ambao unaweza kumuongezea muda rais wa sasa Felix Tshisekedi au kuleta sura mpya katika kiti hicho.

https://p.dw.com/p/4aL76