1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Polisi ya Kenya yapambana na wafuasi wa upinzani

Sudi Mnette27 Machi 2023

Usalama umeimarishwa nchini Kenya kufuatia maandamano yaliyopangwa kufanywa na muungano wa upinzani wa azimio ukiongozwa na kiongozi wake Raila Odinga. Sudi Mnette amezungumza na mwanahabari Shisia Wasilwa ambaye yuko Nairobi kupata tathmini ya hali ilivyo.

https://p.dw.com/p/4PIF1