1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Oktoba 7: Jinsi shambulio la Hamas lilivyofanyika

7 Oktoba 2024

Mwaka mmoja uliopita, Israel ilikumbwa na mauaji mabaya zaidi ambayo hayajawahi kushuhudiwa katika historia yake ya wakati huu. Itakumbukwa Oktoba 7, 2023, Kundi la Hamas lilifanya shambulio la kushtukiza kutoka Gaza ambalo liliua takriban watu 1,200 na kuzusha mshtuko kwa taifa hilo kwa ujumla.

https://p.dw.com/p/4lUZF