1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Msichana mdogo anayefanya harakati za kutunza mazingira

13 Machi 2024

Kutana na Shujaa Sheila msichana mdogo anayeendesha harakati za ulinzi wa mazingira kupitia taulo za kike , anahamasisha wanawake kuwa mstari wa mbele dhidi ya mabadiliko ya tabia nchi kwa kuwa wanawake na watoto ndio waathirika zaidi. #KurunziWanawake

https://p.dw.com/p/4dT0o