1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mmoja auwawa maandamano ya upinzani Kisumu nchini Kenya

Musa Naviye27 Machi 2023

Huko mjini Kisumu, iliko ngome ya kinara wa upinzani wa Kenya, Raila Odinga, mtu mmoja amedhibitishwa kuuawa baada ya kupigwa risasi wakati maandamano dhidi ya kupanda kwa gharama za maisha yakiingia wiki yake ya pili. Sikiliza ripoti ya Musa Naviye.

https://p.dw.com/p/4PK8W