1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mjadala ripoti ya CAG wapamba moto Tanzania

George Njogopa5 Aprili 2023

Baadhi ya wanasheria nchini nchini Tanzania wamependekezawahusika wa vitendo vya ubadhirifu wanaotajwa kwenye ripoti ya kila mwaka ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG wawajibishwe mara moja. Sikiliza ripoti ya George Njogopa.

https://p.dw.com/p/4Pifa