1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaUrusi

Mivutano kuhusu silaha za nyuklia inaleta taswira gani?

Sudi Mnette27 Machi 2023

Jumumuiya ya kimataifa na washirika wa nchi za Magharibi wameulaani mpango wa Rais Vladmir Putin alioutangaza mwishoni mwa juma wa kuhifadhi silaha zake za kimkakati za nyuklia huko Belarus. Je mivutano hiyo ya kukusanya silaha kali katika ardhi ya Ulaya inaleta taswira gani? Sudi Mnette amezungumza na Ahmed Rajab, mchambuzi wa siasa za kimataifa.

https://p.dw.com/p/4PKUN