1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Miaka 60 ya urafiki kati ya Ujerumani na Ufaransa

Daniel Gakuba
25 Januari 2023

Jumapili ya Januari 22 mwaka huu, Ujerumani na Ufaransa ziliadhimisha miaka 60 tangu kusainiwa kwa mkataba wa Elysee, ambao ulichora ramani ya ushirikiano baina ya mataifa hayo makubwa ya Ulaya baada ya vita vikuu vya pili, na kuhitimisha uhasama wa kijadi. Makala hii ya Mwangaza wa Ulaya ilioandaliwa na Daniel Gakuba inaangazia miaka 60 ya urafiki huo.

https://p.dw.com/p/4Mg6S