1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Mtindo wa maishaKenya

Vijana Mchaka Mchaka - Shauku ya kupokea mshahara wa kwanza

14 Agosti 2024

Unakumbuka siku uliyopokea mshahara wako wa kwanza? Uliufanyia nini? Katika makala ya Vijana Mchaka Mchaka, Rashid Chilumba amezungumza na vijana juu ya shauku ya kupokea mshahara wa kwanza na iwapo ni muhimu kuuwekea malengo.

https://p.dw.com/p/4jRpJ