1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana: 20.07.2024

20 Julai 2024

Polisi nchini Bangladesh waweka upya amri ya kutotoka nje ili kutuliza ghasia baada ya siku kadhaa za maandamano. Donald Trump kufanya mkutano wake wa kwanza wa kampeni huko Michigan. Blinken asema Iran ina uwezo wa kutengeneza silaha za nyuklia ndani ya wiki moja au mbili.

https://p.dw.com/p/4iXJ2