1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Jioni 23.06.2024

23 Juni 2024

Rais William Ruto wa Kenya asema yuko tayari kwa mazungumzo na waandamanaji. Waziri wa ulinzi wa Israel aelekea Marekani kwa mazungumzo kuhusu vita vya Gaza. Zaidi ya mahujaji 1,000 wamekufa kutokana na joto kali wakati wa Hija ya mwaka huu nchini Saudi Arabia

https://p.dw.com/p/4hPN5