1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni 18.12.2016

19 Desemba 2016

Kwenye matangazo yetu leo jioni tumekuandalia: Makubaliano ya kuwaondoa watu kutoka Aleppo na vijiji vya Al-Foua na Kefraya yafikiwa nchini Syria//Shirika la kujihami la NATO latetea uamuzi wake wa kutoingilia vita vya Syria//Watu watano wauwawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana nchini Jordan

https://p.dw.com/p/2UUFR