1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
JamiiUganda

Marufuku ya mavazi ya mitumba Uganda

24 Oktoba 2023

Serikali Uganda imepiga marufuku mavazi ya mitumba kwa hoja kwamba ni wakati wa kutekeleza sera ya nchi kununua bidhaa za ndani. Baadhi ya wananchi wanasema hatua hiyo haijaangalia kundi la watu wenye kipato kidogo.

https://p.dw.com/p/4XxJP