You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Maandamano Kenya
Kombe la EURO 2024 Ujerumani
Mzozo wa Israel na Hamas
Lubega Emmanuel
Ruka sehemu inayofuata Taarifa zilizoonesha na Lubega Emmanuel
Taarifa zilizoonesha na Lubega Emmanuel
Biashara Uganda zaathirika na maandamano ya Kenya
Athari hii inashuhudiwa hata kwa watu wa kawaida ambao walikuwa na shughuli kati ya nchi hizo mbili na usafiri.
Mbinu zinazotumiwa kutokomeza Malaria Uganda
Miongoni mwa mbinu zinazotumiwa na Uganda ni mpango wa kunyunyiza viwatilifu vya kuangamiza mbu wanaoeneza Malaria.
Afrika Mashariki inaweza kuwa na viwango sawa vya kodi?
Bunge la EALA limepitisha muswada wa kusawazisha sheria za kodi na ushuru lakini kuna mashaka ikiwa utaridhiwa.
Ruka sehemu inayofuata Taarifa na Lubega Emmanuel
Taarifa na Lubega Emmanuel
Mkutano wa wasimamizi wa TEHAMA wamalizika Kampala
Mkutano wa wasimamizi wa TEHAMA wamalizika Kampala
Mkutano mkuu wa mashauriano miongoni mwa mamlaka zinazosimamia sekta ya TEHAMA umemalizika mjini Kampala ambapo wajumbe kutoka mataifa zaidi ya 100 wameazimia kushirikiana katika kutanua na kuboresha huduma hizo ili ziwafikie watu wa matabaka yote. Mwandishi wetu Lubega Emmanuel alituletea ripoti hii kwa kina.
Kituo cha elimu ya awali kwa watoto wakimbizi
Kituo cha elimu ya awali kwa watoto wakimbizi
Jamii za wakimbizi na wenyeji Kaskazini Magharibi mwa Uganda wameanzisha vituo vya kutoa elimu ya awali kwa watoto. Walimu na walezi ni wanajamii ambao wamejitolea kuendesha shughuli hiyo baada ya kupokea mafunzo maalum. Ebu tazama vidio na uwapongeze walimu hawa.
Uganda yawarejesha raia waliodanganywa ajira Thailand
Uganda yawarejesha raia waliodanganywa ajira Thailand
Uganda imewarejesha nyumbani raia wake 23 waliokuwa wamepelekwa Myanmar wakidanganywa kupata kazi nchini Thailand.
Upinzani wakaidi marufuku ya polisi kufanya mikutano Uganda
Upinzani wakaidi marufuku ya polisi kufanya mikutano Uganda
Upinzani wakaidi marufuku kufanya mikutano ya kisiasa kutoka kwa polisi
Utakaso wa Waturkana baada ya matatizo kwenye jamii
Utakaso wa Waturkana baada ya matatizo kwenye jamii
Katika kila jamii kuna namna ya kufanya tambiko baada ya kutoka kwenye majanga kadhaa, katika jamii ya Waturkana inatumia maji na kinyesi cha mbuzi katika kuwatakasa wale ambao wametoka kwenye matatizo. Hebu tazama video.
Museveni amsifia Muhoozi kuwa mwanajeshi shupavu
Museveni amsifia Muhoozi kuwa mwanajeshi shupavu
Sherehe za familia zilifanyika ikulu ya Entebbe lakini ilikuwa fursa kwa Museveni kuwajibu wakosoaji wa Muhoozi.
Onesha taarifa zaidi
Nenda ukurasa wa mwanzo