1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
JamiiUturuki

Maoni: Msaada wa kimataifa kwa Syria na Uturuki.

Khelef Mohammed17 Februari 2023

Dunia bado inalitupia jicho janga la tetemeko kubwa la ardhi lililokumba mataifa ya Uturuki na Syria. Wakati mataifa yakiendelea kuwasaidia wahanga wa janga hilo, je ni kwa kiasi gani yamefanikiwa kuwafikia? Wapi wameshindwa? Na kuna changamoto gani na hasa katika ufikishwaji wa misaada hiyo? Ungana na Mohammed Khelef na jopo la wataalamu wanaolijadili hili katika Maoni mbele ya meza ya Duara.

https://p.dw.com/p/4NdzQ
Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Makala zetu