1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahakama ya Afrika ya Haki za Binaadamu yazuia wakurugenzi kusimamia uchaguzi, Tanzania

13 Juni 2023

Mahakama ya Afrika ya Haki za Binaadamu imepiga marufuku wakurugenzi kusimamia uchaguzi na kuagiza serikali ya Tanzania kufanya marekebisho ya sheria ya uchaguzi na kupeleka ripoti ya utekelezaji wa marekebisho hayo ndani ya mwaka mmoja. Kesi hii ilifunguliwa na Mwanasheria Bob Wangwe. Hii ni mara ya pili kwa wakurugenzi hao kuzuiwa. Mwenzetu Ubena Bakari alizungumza na Chacha Wangwe.

https://p.dw.com/p/4SWzs