1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kwanini Waafrika wengi hawachangii damu?

15 Juni 2023

Licha ya maendeleo ya kadri, Afrika ina viwango vya chini vya uchangiaji damu. Dhana potofu na ukosefu wa taarifa sahihi huenda ukaathiri afya ya bara zima. Wataalamu wanataka kubadilisha mtazamo juu ya uchangiaji damu. Je, lini mara ya mwisho ulichangia damu?

https://p.dw.com/p/4ScMQ