1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kusitishwa maandamano ya umma Kenya kuna maana gani?

Amina Abubakar3 Aprili 2023

Kiongozi wa upinzani Raila Odinga alitangaza hatua hiyo baada ya kuafikiana na Rais wa taifa hilo William Ruto kufanya mageuzi fulani katika tume ya kusimamia uchaguzi kupitia mchakato utakaoongozwa na Bunge. Amina Aboubakar amezungumza na mchambuzi wa masuala ya kisiasa aliyeko mjini Mombasa nchini Kenya Emmanuel Nzai anayetoa tathmini kuhusu uamuzi huo wa upinzani.

https://p.dw.com/p/4Pcrq