1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kisa cha mwanamke aliyekuwa na matatizo ya afya ya akili

10 Oktoba 2023

Pamba Juma, mwanamke wa mtoto mmoja, alikuwa muathirika wa afya ya akili na kupatikana na sonona kutokana na changamoto nyingi za maisha zilizompata baada ya wazazi wake kutengana na kuishia kwa baba wa kambo. #KurunziLive

https://p.dw.com/p/4XL4I