1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Joto kali lina athari gani mwilini ?

25 Machi 2024

Kutokana na joto kali mjini Mombasa, Pwani ya Kenya na maeneo mengine ya Afrika Mashariki, ni muhimu kuchukua hatua kadhaa ili kukabiliana na hali hiyo wakati unapoendelea na majukumu yako ya kazi. Daktari Jalab Ashraf atowa maelezo zaidi jinsi ya kuhakikisha tunabakia imara kiafya katika kipindi hiki cha joto kali. #kurunziafya

https://p.dw.com/p/4e5eQ