1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Jinsi janga la Corona lilivyoathiri maendeleo ya Wanawake

Harrison Mwilima12 Machi 2021

Katika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya wanawake ya mwaka huu, janga la virusi vya corona lilitajwa kuleta athari mbaya zaidi kuelekea wanawake na ndio maana Makala ya Sura ya Ujerumani leo hii, inaangazia jinsi vizingiti vya kuzuia maambukizi ya corona, vilivyorudisha nyumba maendeleo ya usawa wa kijinisia yaliyokuwa yamepigwa mpaka sasa. Harrison Mwilima anasimulia.

https://p.dw.com/p/3qWPs