1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Je, wakati umewadia wa Eliud Kipchoge kustaafu?

4 Machi 2024

Nyota wa mbio za masafa marefu za marathon Eliud Kipchoge kutoka Kenya alionyeshwa kivumbi na Wakenya wenzake mwishoni mwa wiki katika mbio za Tokyo Marathon ambapo aliishia kumaliza mbio hizo katika nafasi ya kumi. Sikiliza uchambuzi wa mwandishi wa michezo kutoka Kenya Ali Hassan Kauleni alipozungumza na Jacob Safari.

https://p.dw.com/p/4d9Qf