1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Shangwe na nderemo baada ya La Roja kuchukua ubingwa wa EURO

15 Julai 2024

Uhispania imetawazwa wafalme wa soka barani Ulaya EURO 2024 baada ya kuitandika England 2-1 katika fainali iliyochezwa uwanjani Olympiastadion, mjini Berlin. Huo ni ushindi wa nne wa La Roja katika michuano ya Kombe la Mataifa ya EURO baada ya kushinda pia mwaka 1964, 2008, 2012 na 2024.

https://p.dw.com/p/4iJbp