You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024
Maandamano Kenya
Mzozo wa Israel na Hamas
Matangazo
Edward Snowden
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Miundombinu ya nishati ya Ukraine yashambuliwa na Urusi
Ikulu ya White House imelitaka Bunge la Marekani kupitisha mswada wa kufadhili ulinzi wa Ukraine.
Urusi yashambulia maeneo mbalimbali nchini Ukraine
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskiy amezungumza kwa njia ya simu na Spika wa Bunge la Marekani
Mashambulizi yaendelea kurindima Gaza
Marekani na Israel zimekubaliana kupanga upya mazungumzo yaliyokuwa yamefutwa kuhusu Opresheni ya Israel mjini Rafah.
Mazungumzo ya suluhu ya amani Sudan kuanza tena
Duru mpya ya mazungumzo huenda itafanyika wakati vita vya nchi hiyo vitakuwa vimetimiza mwaka mmoja.
Israel, Hamas zakomalia misimamo yao vita vya Gaza
Hakuna ishara za kusitishwa kwa vita wakati pande zote zikikomaa na misimamo yake.
Israel yalaani azimio la usitishwaji mapigano la UN
Israel na Hamas zimeendelea kushikilia misimamo yao kuhusu usitishaji wa vita Gaza, baada ya Baraza la Usalama la UN.
Urusi na China zapinga rasimu ya azimio la Marekani
Urusi imesema lugha iliyotumika kwenye rasimu hiyo ni dhaifu mno na kamwe hailengi kuiwekea Israel shinikizo lolote.
Donald Trump na msururu wake wa mashtaka mahakamani
DW inaziangalia changamoto za kisheria zinazomsibu rais wa zamani wa Marekani Donald Trump
Kiongozi mkuu wa genge la wahalifu Haiti, Ti Greg auawa
Kifo cha Ti Greg ni pigo kwa mipango ya magenge ya wahalifu yanayolenga kuchukua udhibiti wa mji mkuu Port-au-Prince.
Mji wa Port-au-Prince wakumbwa na mashambulizi mapya
Mazungumzo ya kuunda baraza tawala la mpito yaendelea nchini Haiti huku magenge yakifanya mashambulizi mapya
China yawajia juu wanaoikosoa sheria ya usalama ya Hong Kong
China imeukemea Umoja wa Mataifa na mataifa yanayoikosoa sheria mpya ya usalama wa taifa ya Hong Kong
Marekani yasema kamwe haitoiacha Ukraine ishindwe
Marekani imeiahidi Ukraine kwamba itaendelea kuungwa mkono kimataifa katika juhudi za kujilinda na uvamizi wa Urusi.
Korea Kaskazini ilipeleka makontena 7,000 ya silaha Urusi
Waziri wa ulinzi wa Korea Kusini amesema Korea Kaskazini ilisafirisha makontena 7,000 ya silaha kwenda Urusi.
Marekani yatathmini mustakabali wa operesheni zake Sahel.
Hatua hiyo inafuatia tangazo la Niger kuwa inasitisha ushirikiano wake wa kijeshi wa miaka mingi na Washington.
Marekani kuwahamisha raia wake kutoka Haiti kufuatia vurugu
Uwanja mkuu wa ndege katika mji mkuu wa Port-au-Prince ukiendelea kufungwa kutokana na machafuko hayo.
Blinken awasili Korea Kusini kushiriki mkutano wa demokrasia
Mkutano huo umekuwa ukikosolewa kutokana na baadhi ya nchi kama Thailand na Uturuki kutoalikwa.
Putin: Urusi iko tayari kwa vita vya nyuklia
Putin ameionya Marekani na washirika wake kujiepusha na vitendo ambavyo amesema vinaweza kusababisha vita vya nyuklia.
Biden asafisha njia Georgia kwa tiketi ya kuwania urais
Biden asafisha njia kwa tiketi ya kuwania urais Georgia
Meli iliyosheheni misaada ya chakula yaelekea Gaza
Meli iliyosheheni tani 200 za misaada ya chakula imeanza safari kutoka Cyprus kuelekea katika Ukanda wa Gaza.
Marekani yashambulia maeneo ya Wahotuhi wa Yemen
Waasi wa Houthi walitishia Jumanne kuimarisha mashambulizi yao katika bahari ya Shamu wakati wa mfungo wa Ramadhani.
Biden kuhakikishia Poland msaada huku hofu ikiongezeka Kyiv
Poland mshirika muhimu wa jumuiya ya kujihami NATO yataka msaada wa Marekani kufuatia hatua ya Urusi kuivamia Ukraine.
Mshauri wa zamani wa Trump Navarro aamriwa kuripoti gerezani
Mshauri wa zamani wa Donald Trump Peter Navarro ameagizwa kuripoti gerezani.
Urusi yaionya Marekani dhidi ya kuingilia uchaguzi wake
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky, amepongeza ushindi wa tuzo ya kwanza ya Oscar kwa nchi yake.
Marekani imepeleka vikosi kunusuru maafisa wake Haiti
Marekani imepeleka vikosi kunusuru maafisa wake Haiti
Marekani na washirika wake zadungua droni 15 za Yemen
Waasi wa Houthi wanasema lengo la mashambulizi ni kuishinikiza Israel kusitisha mashambulizi Gaza.
Matumaini ya kupata msaada kwa watu wa Gaza yapata nguvu
Jeshi la Marekani latarajiwa kuongoza shughuli ya ujenzi wa bandari ya dharura pwani ya Gaza.
Biden: Marekani haitoitenga Ukraine katika vita na Urusi
Rais Biden anamwambia Putin Marekani haitoitenga Ukraine
Hamas yasema itaendelea na mazungumzo ya usitishaji vita
Hamas lamesema litaendelea na mazungumzo kupitia wapatanishi hadi watakapofikia makubaliano ya kusitisha vita na Israel.
Juhudi za kusitisha mapigano Ukanda wa Gaza zaendelea
Juhudi za kusitisha vita vya Israel kwenye Ukanda wa Gaza kabla ya kuanza kwa mfungo wa Ramadhani zinaendelea Kairo.
Hamas yaahidi kuendelea na mazungumzo hadi makubaliano
Kauli ya Hamas inakuja siku moja baada ya Rais Joe Biden wa Marekani kulitolea wito kundi hilo kukubali muafaka haraka.
Majimbo zaidi ya 15 ya Marekani yanapiga kura za mchujo
Uchaguzi wa Marekani
Jumanne Kuu: Majimbo 15 ya Marekani kufanya uchaguzi
Wajumbe wa Democratic na Republican nchini Marekani kuwachagua wagombea wa vyama vyao katika uchaguzi wa Novemba.
Marekani yaonyesha wasiwasi kuhusu hali ya kiutu Gaza
Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris ameelezea wasiwasi wake kuhusu hali ya kiutu katika Ukanda wa Gaza,
Trump na Biden: Wagombea 2 wazee wawania wapigakura vijana
Je, umri wa Biden na Trump una jukumu katika uchaguzi wa raiswa Marekani, na wanaweza kuwavutia kwao wapigakura vijana?
Biden na Trump waendelea kujipigia debe
Rais Joe Biden na mpinzani wake Donald Trump watafanya ziara kwenye mpaka wa Marekani.
Gaza: Mashirika ya misaada yatahadharisha juu ya baa la njaa
Mashirika ya misaada yametahadharisha juu ya kuzuka baa la njaa katika eneo la kaskazini mwa Ukanda wa Gaza
Korti kusikiliza kesi ya Trump ya kinga ya kushtakiwa Aprili
Mahakama ya juu ya Marekani imekubali kusikiliza madai ya Donald Trump kwamba kama rais wa zamani, ana kinga ya kushtaki
Hizbullah yakabiliana kijeshi na Israel
Hizbullah imekabiliana kijeshi na Israel huku Qatar ikirejelea kauli ya Marekani kuhusu usitishaji wa mapigano ya Gaza.
Marekani: Hatuna mpango wa kupeleka wanajeshi nchini Ukraine
Rais Joe Biden anaamini "njia ya ushindi" ni kwa Marekani kutoa msaada wa kijeshi kwa vikosi vya Ukraine ili kujilinda.
Biden asema usitishaji mapigano Gaza unakaribia
Watu wanaokaribia 30,000 wamekwishauawa na zaidi ya 70,000 kujeruhiwa tangu Israel ianze kuushambulia Ukanda wa Gaza.
Zelensky: Wanajeshi 31,000 wa Ukraine wameuawa vitani
Ukraine ilikuwa haijafichua idadi rasmi ya wanajeshi wake waliopoteza maisha katika vita dhidi ya Urusi hadi sasa.
Marekani yatangaza vikwazo vipya 500 dhidi ya Urusi
Biden ameapa kuendeleza shinikizo kuzuia vita vya rais wa Urusi Vladimir Putin.
Vita Ukraine: Uchumi wa Urusi wasalia imara licha ya vikwazo
Miaka miwili iliyopita Urusi iliwekewa vikwazo vikali baada ya kuivamia Ukraine. Lakini uchumi wake umesalia imara.
Marekani, Uingereza zamuunga mkono Mark Rutte kuiongoza NATO
Hatua ya Marekani na Uingereza kumuunga mkono Rutte inaongeza nafasi yake ya kuwa Katibu Mkuu ajaye wa NATO.
Marekani yaitaka ICJ kutoiamuru Israel kukomesha ukaliaji
Marekani imesema ICJ haipaswi kuilaazimisha Israel kuondoka kwenye ardhi za Wapalestina bila uhakikisho wa usalama.
Israel yaishambulia Gaza baada ya turufu ya Marekani UM
Mataifa yenye nguvu yameshindwa kufikia lengo la kusitisha vita na juhudi za upatanishi pia zimeshindwa kufua dafu.
Wakaazi mashariki mwa Congo wakabiliwa na uhaba wa chakula
Mzozo wa kiusalama mashariki mwa Kongo, umesababisha maelfu ya wakaazi kung'ania chakula.
Marekani inalaani ghasia mashariki mwa DR Kongo
Marekani inalaani ghasia mashariki mwa DR Kongo
Israel yakabiliwa na shinikizo dhidi ya kuishambulia Rafah
Rais Biden amefanya mazungumzo na Waziri Mkuu Netanyahu na kutahadharisha dhidi ya kuushambulia mji wa Rafah.
Zelensky azitembelea Berlin, Paris kusaka msaada zaidi
Zelensky anafanya ziara nchini Ujerumani na Ufaransa ambako anatarajiwa kutia saini mikataba ya usalama.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 4 wa 66
Ukurasa unaofuatia