1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Darasa la kutabasamu Japan

Hawa Bihoga
7 Juni 2023

Hili ni darasa la kufundisha watu kutabasamu huko Japan.Mtaalamu anasema janga la Corona limesababisha idadi kubwa ya watu kutoshughulisha misuli yao ya uso.Lakini kupitia darasa hilo mambo yamebadilika.

https://p.dw.com/p/4SJEv