1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afya Yako: Chanzo cha ongezeko la saratani ya kizazi

Bernard Maranga18 Septemba 2023

Ugonjwa wa Saratani ya kizazi ni wa nne kati ya saratani zinazokumba wanawake duniani kulingana na Shirika la Afya Duniani. Sasa kaunti ya Trans Nzoia nchini Kenya imeanza kuangaziwa na wataalamu wa afya kutokana na jinsi ugonjwa huu unaendelea kuongezeka katika sehemu hiyo. Kwenya makala ya afya yako hivi leo tunaangazia chanzo cha kuongezeka kwa maradhi ya saratani ya kizazi.

https://p.dw.com/p/4WTs8