1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
MigogoroKenya

Al Shabaab-Lamu wavamia tena Lamu

Ubena Bakari26 Juni 2023

Kundi la wanamgambo la Al-Shabab lenye makao yake nchini Somalia, limetajwa kuhusika na shambulio dhidi ya raia katika kaunti ya Lamu iliyoko pwani ya Kenya lililotokea Jumamosi iliyopita na kusababisha vifo vya watu watano huku nyumba kadhaa zikiteketezwa kwa moto. George Musamali ni mchambuzi wa masuala ya usalama.

https://p.dw.com/p/4T5RE