1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika katika magazeti ya Ujerumani

26 Julai 2024

Yaliyoandikwa na magazeti ya Ujerumani kuhusu bara la Afrika mnamo wiki hii ni pamoja na uchunguzi uliofanywa na shirika la kutetea haki za binadamu unaobainisha majina ya nchi zinazopeleka silaha nchini Sudan. Kenya yapata baraza jipya la mawaziri baada ya maandamano ya vijana ya siku kadhaa na kuhusu vijana wa nchini Uganda ambao pia wameanzisha harakati za kupinga ufisadi.

https://p.dw.com/p/4imVc