1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika katika Magazeti ya Ujerumani

21 Juni 2024

Afrika katika magazeti ya Ujerumani inaangazia juu ya kuundwa serikali ya kitaifa nchini Afrika Kusini baada ya uchaguzi mkuu. Je kitatokea nini ikiwa waasi wa M23 wanaidhibiti sehemu ya migodi katika jimbo la Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo? Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetoa ishara ya nguvu kwa pande zinazopigana nchini Sudan ziutatue mgogoro wao haraka.

https://p.dw.com/p/4hMCK