1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaAfrika Kusini

Chama cha ANC bado kinakabiliwa na kitisho?

31 Mei 2024

Nchini Afrika Kusini kura zimeendelea kuhesabiwa wakati kukiwa na mashaka dhidi ya chama tawlaa nchini humo cha African National Congress, ANC kupoteza wingi wa viti bungeni. Mambo yameendeleaje huko? Nickson Katembo mchambuzi wa siasa alifuatilia kutoka huko na kutupa taswira ya mambo yanavyoendelea, alipozungumza na Saumu Njama.

https://p.dw.com/p/4gVc3