1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ziara ya Dr Muyembe katika eneo la Beni huko DRC

9 Agosti 2019

Mratibu wa mpango wa kupambana na Ebola katika mikoa ya Kivu ya kaskazini pamoja na Ituri Dr Jean-Jacques Muyembe akiandamana na mjumbe maalumu wa baba mtakatifu Francis cardinali Peter Kodwo kutoka Vatican waliwasili Beni, ambako Ebola inawaangamiza watu.

https://p.dw.com/p/3NdaM